The House of Favourite Newspapers

Yanga Yaiondoa Ken Gold Kombe La FA, Yashinda Bao 1-0

0

Mchezo wa kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) uliozikutanisha timu za Yanga na Ken Gold kutoka ya Chunya mkoani Mbeya umemalizika kwenye uwanja wa Uhuru huku Yanga ikiibuka na ushindiwa bao 1-0.

Bao hilo pekee la Yanga lilifungwa dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza na straika wa Yanga Fiston Abdulrazak raia wa Burundi kwa mkwaju wa penalti baada ya beki wa Ken Gold , Boniface Mwanjonde kushika mpira ndani ya 18 akiwa katika harakati za kuokoa hatari za washambuliaji wa Wanajangwani.

 

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga raia wa Burundi, Fiston Abdoul Razack amefunga bao dakika ya 42 kwa mkwaju wa penalti dhidi ya Kengold FC .

Leave A Reply