The House of Favourite Newspapers

LIVE Bongo Movies: JUMBA LA DHAHABU – Sehemu ya 2

1


GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa JUMBA LA DHAHABU lakini haukubahatika kuiona, hii ni tamthilia bomba sana isiyokwisha hamu. Mwaka 2007 -2008 ilitesa sana katika Televisheni ya Taifa ya TBC1,

Huu ni wakati wako sasa wa kufuatilia JUMBA LA DHAHABU yenye kisa kizito cha jini KABULA aliyeibuka na kuchanganya akili za wanadamu. Utaifuatilia kwa muda wako kupitia simu yako ya mkononi, kila siku ya JUMAMOSI NA JUMAPILI saa 12:30 hapa hapa GLOBAL TV Online.

WAHUSIKA WAKUU NI: Mzee Chilo, Joan Chilo, Jini Kabula, Rado, Angel John Komba ‘Winter’, Cecilia Sengerema ‘Mamtei’, Bajomba NA Tuesday (Mr. Chuz).

Script: Tuesday Kihangala, Story by: Tuesday Kihangala, Producer: Tuesday Kihangala, Executive Producer: Tuesday Film

Production, Director: Tuesday Kihangala, Sound: Omary Idd, Cameraman: Ramadhani Juma/Mathias Chalange/ Ibrahim Kitimbu

JUMBA LA DHAHABU|GLOBAL TV ONLINE|JINI KABULA

1 Comment
  1. […] mpya inayotikisa kwa sasa Bongo ni ya muigizaji Jackline Wolper na baby wake, mwanamitindo anayeitwa Brown. Tangu kuibuka kwa kapo […]

Leave A Reply