The House of Favourite Newspapers
gunners X

BUNGENI, Kikao cha Kwanza Mkutano wa 15, Maswali na Majibu – Video

Mapema leo April 2, 2019, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza kikao chake cha kwanza katika mkutano wa 15, Ambapo mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Maadili ya Bunge amewasilisha taarifa za kamati ya haki maadili na madaraka ya bunge.

Comments are closed.