Video: DC Nikki Wa Pili Akikabidhiwa Ofisi Na DC Jokate Kisarawe
ALIYEKUWA Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, leo Juni 24, amekabidhi ofisi kwa mkuu wa wilaya hiyo wa sasa, Nickson Saimon ‘Nikki wa Pili’ …. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx