The House of Favourite Newspapers

Diamond Azindua Wimbo Wake wa Kombe la Dunia Chini ya Coca Cola – VIDEO

MSANII wa bongo fleva, Diamond Platnumz amepata shavu la kusikika Katika wimbo utakaosherehesha Kombe la Dunia 2018 wimbo uitwao Colours nyimbo iliyofanywa na Diamond akishirikiana na Jason Derulo.

Wimbo huo ambao umetayarishwa na prodyuza Nahreel kwa kushirikiana na Ma prodyuza kutoka nchi nyingine, umedhaminiwa na kampuni ya ya coca cola Tanzania.

Wimbo huo maalum wa kombe la dunia 2018 umezinduliwa leo Katika Hotel ya Hyatt, jijini Dar es Salaam, ambapo Diamond, Nahreel na msemaji wa Coca Cola wamesema wamesha uachia hewani wimbo huo hivyo unapatikana kwenye mitandao mbalimbali.

 

Comments are closed.