LIVE GLOBAL HABARI: JESHI LA POLISI LATOA TAMKO KUFUATIA NASSARI KUVAMIWA

KUFUATIA tukio la Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kuvamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo na kufyatua risasi ambazo hata hivyo hazikumpata baada ya kufanikiwa kukimbia na mkewe, Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limetoa ufafanuzi kuhusu tukio hilo la kutisha.

Global TV Online inakuletea taarifa ya Habari na Kauli ya Jeshi hilo, Tazama hapa ssasa!

Toa comment