The House of Favourite Newspapers
gunners X

Injinia Hersi Anazungumza na Waandishi wa Habari Muda Huu, Anaelezea Malengo Yake Kama Rais-Video

0

MGOMBEA Urais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Ally Said amezungumza na wanahabari akielezea malengo na mikakati yake endapo atachaguliwa kuwa Rais wa klabu hiyo.

Leave A Reply