Land Rover Festival Yateka Jiji la Arusha Magari 1000+, Polisi Nao Wamo (Picha +Video)
Msafara wa magari aina la Land Rover kwenye Tamasha la Land Rover 2024 kutokea King’ori kuelekea Viwanja vya Kisongo ambapo tamasha hili limeratibiwa chini ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda
Tamasha hili linaaza leo na kfikia kilele chake Oktoba 14, 2024 na mbali ya kusherehekea mafanikio pia dhamira ni kuweka rekodi mbalimbali za dunia kupitia tamasha hili ikiwemo ya kukutanisha magari mengi zaidi ya aina moja katika eneo moja.
Endelea kuwa karibu na mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa na matukio mbalimbali ya tamasha hili.