Kombe Latua GSM, Mashabiki Hawapoi, Dar Imejaa Njano na Kijani -Video


LEO ndio Leo, siku ambayo mashabiki, wapenzi na wanachama wa Yanga waliisubiri kwa muda mrefu, kupokea kombe lao la ubingwa wa 28 wa ligi kuu Tanzania bara na kuzunguka nalo mji mzima wa Dar es Salaam na viunga vyake…

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx3473
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment