The House of Favourite Newspapers
gunners X

#Live Kutoka Bungeni, Kipindi Cha Maswali na Majibu

0

Leo Januari 28, 2020, Mkutano wa 18 wa Bunge la 11 umeanza jijini Dodoma, ambapo Bunge litapokea na kujadili taarifa za Kamati za Bunge, pamoja na kuwakabidhi majoho Maspika wastaafu Samwel Sitta, Pius Msekwa pamoja na Anna Makinda.

 

Akiongoza kikao cha kwanza cha Mkutano huo, Spika wa Bunge Job Ndugai amesema Rais Dkt. John Pombe Magufuli amepokea azimio la pongezi lililofikiwa na Bunge kwenye kikao cha 17, kufuatia mafanikio na mageuzi kwenye utendaji kazi wa Serikali na pia amelishukuru Bunge kwa kutambua mchango wake.

 

Leave A Reply