The House of Favourite Newspapers

LIVE KUTOKA TAIFA: SIMBA Vs AS VITA – Mashabiki Wawasha Moto!! – VIDEO

Masaa machache yamesalia kuweza kuufiki ule muda wa kuushuhudia mtanange wa kukata na shoka kati ya Wekundu wa Msimbazi SIMBA na wakata viuno wa AS VITA…Mchezo ambao unachezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Hali iliyopo sasa nje ya uwanja wa Taifa ni shangwe na mbwembwe za mashabiki wa Simba ambao wanaonekana kuupania sana mchezo huku wakijitapa kuwa mkongo hatoki leo

Comments are closed.