Live: Lipuli FC 1-1 Simba, Kutoka Uwanja Wa Samora, Iringa
MPIRA UMEKWISHA, Lipuli 1-1 Simba.
DK 90 +3 Muamuzi anaongeza dakika tatu kabla ya mchezo kuisha
DK 85 kipa wa Lipuli anaokoa, Simba wanapata kona
DK 79 Mavugo anakosa bao akiwa mwenyewe na goli kipa wa Lipuli
DK 78 Wachezaji wa Simba wanapasha nje wanajiandaa kuingia Uwanjani, mchezo umesimama
Dk 71 Simba wameamka wanashambulia
Dk 69 Lipuli 1-1 Simba timu zote zinashambuliana kwa kasi
GOOOOOOOOOOOOOOOOOO Mavugo anawapatia bao la kusawazisga Simba
Dk 64 Lipuli wanashambulia kwa kasi lango la timu ya Simba
Dk ya 44 Timu ya Simba wanashambilia kwa kasi sana lakini Okwi anakosa bao la wazi
Comments are closed.