The House of Favourite Newspapers

JPM Amwaga Sera Kwa Wananchi Akiondoka Kigoma (Picha +Video)

0
Mgombea Urais kupitia (CCM) Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anaongea na wananchi wa kata ya Nsimbo mkoani Kigoma wakati akiwa njiani kuelekea Urambo mkoani Tabora tayari kwa mikutano yake wa kampeni leo Jumapili Septemba 20, 2020.
Picha mbalimbali zikionesha Baadhi ya wananchui wa kata ya Nsimbo mkoani Kigoma waliojitokeza kumlaki Mgombea Urais kupitia (CCM) Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwa njiani kuelekea Urambo mkoani Tabora.

p

MGOMBEA Urais Kupitia tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli leo Septemba 20, 2020 ameendelea na kampeni zake za kituo kwa kituo akiwa safarini kutoka Kigoma Kuelekea Tabora. 

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8

⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply