The House of Favourite Newspapers

LIVE MAKABURINI: GODZILLA AKIZIKWA MUDA HUU KINONDONI – VIDEO

Mwili wa Mwana Hip Hop Nguli Bongo, Golden Jacob ‘Godzilla’ tayari umewasili nyumbani katika amakaburi ya Kinondoni jijini Dar tayari kwa ajiili ya kupumzishwa katika nyumba yake ya milele.

Comments are closed.