MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), yametangazwa leo Mjini Dodoma, walioshinda ni kama ifuatavyo.
Mshindi nafasi ya Uwakilishi Vijana kwenda UWT
-DOTO NYIRENDA
Mshindi nafasi ya Uwakilishi kutoka Vijana kwenda Jumuiya ya Wazazi
-AMIR MKALIPA
Wawakilishi kutoka Zanzibar kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa
-Nasra Haji
-Abdallah Rajabu
Wawakilishi kutoka Tanzania Bara kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa nafasi 3..
-Rose Manumba
-John Katarahiya
-Secky Katuga
Wajumbe 2 kwenda Halmashauri Kuu ya Taifa kutoka Zanzibar..
-Abdallaghari Idrisa Juma
-Maryam Mohamed Khamis
Wajumbe wa NEC kutoka Tanzania Bara..
-Sophia Kizigo
-Musa Mwakitinya
-Khadija Shabani ‘Keisha’
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti… Kura halali 565
-Thabia Mwita 286 (Mshindi)
-Rashid Mohamed Rashid 282
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Tanzania 2017-2022 ni Ndugu Tabia Mwita.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Tanzania 2017-2022 ni Ndugu Kheri Denice James.
Comments are closed.