The House of Favourite Newspapers

VIDEO: NCCR-Mageuzi Kuchagua Viongozi Wapya Leo, Diamond Jubilee

Chama cha NCCR-Mageuzi, leo Jumamosi Julai 27, 2019  kinafanya mkutano wa uchaguzi wa viongozi wapya wa chama hicho katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam, ambapo viongozi balimbali wa kidini na kisiasa wamehudhuria

Comments are closed.