Live: Msafara wa Mfalme Charles III Wawasili Bungeni Kupokea Salamu za Rambirambi
MFALME Charles wa III wa Uingereza leo Septemba 12, 2022 anatarajiwa kuhutubua Bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza tangu alipotawazwa kuwa Mfalme kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II aliyefariki dunia wiki iliyopita