GLOBAL TV Online, Kupitia kipindi chake cha Michezo, SPOTI HAUSI, kimeongea EXCLUSIVELY na Baba Mzazi wa aliyekuwa mchezaji wa Timu ya Yanga, Simon Msuva ambaye kwa sasa amejiunga na timu ya kulipwa ya Difaa El Jadid ya nchini Morocco.
Mzazi huyo, ambaye naye ni shabiki mkubwa wa Simba, amefnguka mengi ikiwemo suala la mwanae kutochezea Simba.
Ungana na wachamuzi wako mahiri Saleh Ally ‘Jembe’ Philip Nkini na Wilbert Molanda ‘Momo’.