Mwananchi Yataka Mwandishi Wao Arudishwe Akiwa Hai (Video)

KAMPUNI ya Mwananchi Communication Ltd imekutana na wanahabri na kupaza sauti zao ikilaani kuchukuliwa kwa mwandishi wa kampuni hiyo, Azory Gwanda na watu wasiojulikana kwa siku 17 sasa huku wakiwataka waliomchukua wamrudishe akiwa hai.

 

Gwanda ambaye kituo chake cha kazi ni Pwani ametoweka katika mazingira ya kutatanisha tangu Novemba 21 na mpaka sasa hajulikani alipo.

TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment