Video: Mzee Yusuph Atuma Ujumbe Mzito Kwa Mbunge – Katambuga

Mwanamuziki mkongwe wa Taarab nchini, Mzee Yusuph, leo Juni 10, 2021 amemtumia ujumbe kwa mbunge ambaye video yake imesambaa mitandaoni akichangia bungeni kwenye bajeti ya Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, na kutoa lugha iliyotafsiriwa ni kama amebeza umuhimu wa taarab nchini.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCxTecno


Toa comment