#LIVE: Nabii Natasha Afanya Mkutano Mkubwa wa Injili Tabata – Video

     Nabii Lucy Natasha kutoka nchini Kenya kwa kushirikiana na Mchungaji Peter Nyaga, wamefanya Kongamano la kiroho katika viwanja vya Liwiti jijini Dar.

Kongamano hilo lililoanza tangu Julai 1, na linatarajiwa kumalizika Julai 7, linahusisha watu kutoka dini zote, madhehebu yote, kwa ajili ya kufunguliwa, kuombewa matatizo yao, wenye maradhi, waliokata tamaa wanafunguliwa na kukabidhiwa mikononi mwa Yesu Kristo.

Kongamano hilo limepambwa pia na burudani kutoka kwa waimbaji mbalimbali wa injili akiwemo, Emmanuel Mbasha, Christina Shusho, Upendo Nkone na wengine.

#LIVE: NABII NATASHA Katika MKUTANO Wa INJILI Tabata Liwiti

Loading...

Toa comment