The House of Favourite Newspapers

Yanga Yabanwa Mbavu na Namungo Fc 0-0

0

TIMU ya Yanga imeshindwa kufurukuta dhidi ya Namungo Fc, kwenye mchezo wa ligi kuu Bara, baada ya kutoka suluhu ya kwenye uliochezwa leo Mei 15, katika dimba la Majaliwa mkoani Lindi.

 

Kwa natokeo hayo Yanga inayaweka rehani matumaini ya kufukuzia ubingwa wa ligi kuu dhidi ya wapinzani wao Simba.

 

Yanga wamefikisha alama 58, baada ya kucheza mechi 26, n huku Azam Fc wakifuatia kwa karibu kwa alama 54 baada ya michezo 28,

 

Simba inaongoza ligi hiyo ikiwa na alama  61 baada ya kushuka dimbani mara 25.

 

 

 

Leave A Reply