The House of Favourite Newspapers
gunners X

Video: Rais Magufuli Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Barabara

0

RAIS Dkt John Magufuli, leo Juni 11, ameweka jiwe la msingi la ujenzi kwa kiwango cha cha lami wa barabara katika mji wa serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma.

 

Aidha Rais Magufuli atazindua jengo la ofisi za wakala wa barabara za vijijini na mijini (TARURA) na kugawa pikipiki za maafisa tarafa..

Leave A Reply