VIDEO: Rais MUSEVENI Apokelewa na Mwenyeji wake Rais JPM Chato

Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni atafanya ziara binafsi ya siku moja nchini Tanzania, leo Julai 13, ambapo atamtembelea Rais Dk Magufuli kijijini kwake Mlimani, mkoani Geita.

Akiwa Chato, Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Dk Magufuli.


Loading...

Toa comment