The House of Favourite Newspapers

Live: Mwinyi Amwapisha Masoud Kuwa Makamu wa Rais

0

 

RAIS wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi, amemwapisha Othman Masoud Othman kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, kujaza nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alifariki dunia tarehe 17 Februari, mwaka mwaka huu jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

 

Leave A Reply