Rais Samia Apokea Kombe La CECAFA U23 Ikulu Dar (Picha +Video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo 22 Agosti, 2021 anapokea Kombe la Ushindi la Michuano ya Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana wenye umri chini ya miaka 23 (CECAFA CHALLENGE CUP 2021) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.