August 5, 2022 by Peter Mabere
RAIS Samia tayari amewasili mkoani Mbeya kwa ajili ya ziara yake ya kikazi mkoani humo ambapo atazindua mradi wa maji Mbalizi sambamba na kuweka jiwe la msingi pamoja na kuwasalimia wananchi.
Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?