The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Anaongoza Marais Wa Afrika Kujadili Nishati – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakuu wa Nchi mbalimbali na Viongozi wengine wakishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala Nishati katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2025.

Mkutano wa Nishati wa wakuu wa nchi (Misheni 300) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Januari 28, 2025.

Wakuu wa nchi za Afrika wakiwa katika picha ya pamoja katika Mkutano wa Nishati wa wakuu wa nchi hizo (Misheni 300) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Januari 28, 2025.