Rais Samia Ashiriki Maadhimisho Ya Mashujaa yanayofanyika Dodoma – Video
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2024.