The House of Favourite Newspapers

Video: Rais Samia Awaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Dsm

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  leo Julai 27, 2021 anawaapisha Mabalozi wateule Ikulu jijini Dar es Salaam ambao ni:-

1. Maj. Gen Richard Mutayoba Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda

 

2. Bw. Robert Kainunula Vedasto Kahendaguza kuwa Balozi Vienna, Austria

 

3.Bw. Edwin Novath Rutegaruka kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi

 

4.Bi Caroline Kitana Chipeta kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria

 

5. Bi. Agness R. Kayola kuwa Balozi na Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda

 

6.Bw. Masoud A. Balozi kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje, Zanzibar

 

7. Bw. Caesar George Waitara kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia

 

8.Bi. Swahiba Habibu Mndeme kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Ulaya na Amerika

9.Bi Maulidah Bwaakheir Hassan kuwa Balozi Ofisi ya Rais Ikulu

 

10. Bw Alex Gabriel Kallua Kuwa Balozi Ofisi ya Rais Ikulu

 

11.Bw. Said Juma Mshana kuwa Balozi Ofisi ya Rais Ikulu

12. Bw. Fredrick Ibrahim Kibuta kuwa Balozi Ofisi ya Rais Ikulu

 

13. Bi. Hoyce Anderson Temu kuwa Balozi na Naibu Mkuu wa Kituo cha Geneva

Leave A Reply