Rais Samia Apokea Gawio Na Michango Kutoka Mashirika Na Taasisi Za Umma – Video
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anapokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 11, 2024