The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Azindua Mradi wa Vihenge na Maghala ya Chakula, Ziara ya Kikazi – Manyara-Video

0

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kikazi mkoani Manyara ambapo amezindua vihenge pamoja na maghala ya chakula mkoani humo.

Leave A Reply