The House of Favourite Newspapers

Ramsey Noah Atembelea Kaburi la Kanumba – (Video)

Ramsey Noa, mama Kanumba, familia na wadau wa Bongo Movie wakiwa kaburini kwa Kanumba leo.

MSANII nguli wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Noah, ametembelea kaburi la swahiba wake aliyekuwa gwiji wa filamu Bongo, Steven Kanumba, ambaye amezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Ramsey akiwa kaburini.

Ramsey Noah ni moja kati ya wasanii wa Nollywood, ambaye alipata bahati ya kufanya kazi na Kanumba ezni za uhai wake, ambapo walitengeneza filamu inayoitwa ‘The Devil’s Kingdom’, ambayo ilifanya vizuri katika soko la filamu ndani na nje ya nje ya Bara la Afrika.

VIDEO: Ramsey Noah Atembelea Kaburi la Kanumba

Comments are closed.