The House of Favourite Newspapers

LIVE: SABABU ZA OKWI KUGOMA KUICHEZEA SIMBA MAPINDUZI CUP

SPOTI HAUSI leo itakuletea uchambuzi murua huku wachambuzi wake wakijadili mambo mengi, mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga na Simba kuhusu michuano ya kimataifa, dili la Sanchez kwenda Man United.

Lakini wanachambua zaidi kwanini Emmanuel Okwi aligoma kuichezea Simba kwenye mapinduzi Cup pamoja na faida na hasara ambazo Yanga wanapata baada ya kuwasajili, Donald Ngoma, Obrey Chirwa na Amissi Tambwe.

Fahamu kwanini Okwi agoma kucheza Simba kwenye Mapinduzi
Dili la Sanchez ni la faida kubwa kwa Arsenal
Udhamini wa Yanga kutoka Macron ni utata mkubwa
Ngoma hajawahi kufanya lolote Yanga
Okwi afungukia anachowafanya Siginda
Uongozi Yanga ungegoma kumsajili Ngoma

Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1
Install #GlobalPublishersApp
Android: http://bit.ly/2AAQe1d
iOS: http://apple.co/2Assf4M
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi

Comments are closed.