LIVE: Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar – VIDEO

Ni kilele cha miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, maadhimisho hayo yanafanyika katika uwanja wa Gombani Pemba.

Mgeni rasmi katika hafla hiyo ni Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, Dkt Ali Mohamed Shein.

 

 

Loading...

Toa comment