The House of Favourite Newspapers

Simba Yaongoza Kundi Ligi Ya Mabingwa Afrika, Yaipiga Al-Ahly

0

SIMBA inaongoza msimamo wa kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya leo Februari 23, 2021 kufikisha pointi sita baada ya kuifunga Al-Ahly bao 1-0 Uwanja wa Mkapa.

Bao la Simba limefungwa na Luis Miquissone kipindi cha kwanza cha mchezo huo.

Mchezo mwingine, As Vital imeshinda mabao 4-1 dhidi ya El-Merrekh hivyo kushika nafasi ya pili katika kundi hilo.

Al-Ahly inashika nafasi ya tatu ikiwa na pointi tatu, El-Merrekh hawana pointi.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx


Leave A Reply