Simba Sc Walivyotua Dar Wakitokea DRC – Video
Wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba mchana wa leo Feb 14, 2021 wamefika salama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakitokea DRC.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx