The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI: MCHEZO WA SIMBA NA YANGA HAUTABIRIKI

0
Wachambuzi wa kipindi cha Spoti Hausi, Wilbert Molandi (kushoto),  Philip Nkini (katikati) na Elius Kambili wakiwa kwenye kipindi cha Spoti Hausi leo.

 

Wakiendelea na kipindi.
Wakiwa katika picha ya pamopja baada ya kumaliza kipindi.

KIPINDI cha Michezo cha Spoti Hausi kinacholetwa kwako na Global TV Online kinachorushwa kila Alhamisi saa 10:00 jioni leo kilikuwa hewani kama kawa kama dawa ambapo wachambuzi waliongelea mambo mbalimbali ya kimichezo, walianza na uchambuzi wa Uchaguzi Mkuu wa TFF uliofanyika Dodoma hivi karibuni na mikakati baada ya uchaguzi huo.

Pia wamechambua mchezo wa Simba na Yanga na michezo mbalimbali ya kimataifa, kuangalia yaliyojiri ndani ya kipindi hicho angalia video hiyo hapo chini.

Leave A Reply