The House of Favourite Newspapers

Tamthiliya ya Shevola – Part 26 (Mwisho)


GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa TAMTHILIA TA SHEVOLA au pengine haukubahatika kabisa kuitazama, hii ni tamthilia bomba sana isiyokwisha utamu.

Filamu hii ilitesa sana kupitia Star TV, huu ni wakati wako sasa wa kufuatilia SHEVOLA yenye kisa kizito cha binti aliyeibuka na kuwachanganya akili walinzi wa Mfalme. SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1

 

WAHUSIKA WAKUU NI: Aisha Katabazi, Ahmadhaman Masusuli, Juma Masanja, Moses William, Sala Kalisa, Sebastian Joseph na Titus Joseph. Producer: Abbas Saad Kibiki, Executive Producer: Kibiki Entertainment, Director: Abbas Saad Kibiki, Editor: Marcel Asimwe, Cameraman: Hamis Mwema.

Comments are closed.