LIVE: USIPIME! MAZOEZI ya TAIFA STARS Kuivaa UGANDA! – VIDEO
Ikiwa zimebaki siku chache timu ya Taifa ya Tanzania ishuke dimbani katika uwanja wa Taifa jijini Dar kuumana na timu ya Taifa ya Uganda, wachezaji wa klabu hiyo wamefanya mazoezi katika uwanja huo wakiongozwa na Nahodha wake Mbwana Ali Samatta…
Comments are closed.