The House of Favourite Newspapers

Live: Wabunge Wanawabana Mawaziri Kwa Maswali, Jumaa Aweso Kikaangoni Bajeti Ya Wizara Ya Maji…

0


Bunge la 12 mkutano wa saba, umeendelea leo Mei 13, 2022 ambapo Wabunge wameuliza maswali kwa mawaziri, lakini pia wizara ya maji imewasilisha hoja ya bajeti yake na wabunge wamepata nafasi ya kuchangia hoja katika bajeti hiyo. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply