The House of Favourite Newspapers

Breaking: JPM Amwondoa Mkurugenzi Mamlaka ya Viwanja vya Ndege

Rais John Magufuli amemteua Julius Ndyamukama kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kuchukua nafasi ya Richard Mayongela ambae uteuzi wake umetenguliwa na anatakiwa kuripoti Wizara ya Ujenzi kupangiwa kazi nyingine.

Comments are closed.