The House of Favourite Newspapers

Liverpool Wapigwa na Manchester City Bao 2-1

Mshambuliaji wa Man City, Leroy Aziz Sané akishangilia baada ya kufunga bao dakika ya 72 kipindi cha pili.

USIKU wa kuamkia leo Januari 4, 2019 timu ya Liverpool imekutana na kipigo kwenye Ligi Kuu England kutoka kwa Manchester City katika Uwanja wa Etihad. Mabao ya Man City yalifungwa na Aguero 40, Sane 72 na kwa upande wa Liverpool mfungaji ni Firmino 64.

Bado timu ya Liverpool inaongoza msimamo wa ligi hiyo kwa pointi 54 nafasi ya pili ni  Manchester City yenye pointi 50 na nafasi ya tatu ni Tottenham Hotspur nyenye pointi 48.

 

Manchester City (4-3-3): Ederson 8, Stones 6, Kompany 8 (Otamendi 88), Laporte 7 (Walker 86), Danilo 7, Bernardo Silva 8, Fernandinho 9, Silva 7 (Gundogan 65, 6), Sterling 7, Aguero 8.5, Sane 9.

Subs not used: De Bruyne, Mahrez, Gabriel Jesus, Muric.

Liverpool (4-3-3): Alisson 8, Alexander-Arnold 8, Lovren 6, Van Dijk 8.5, Robertson 8, Wijnaldum 6 (Sturridge 86), Henderson 6, Milner 6 (Fabinho 57, 6), Salah 7, Firmino 7, Mane 7 (Shaqiri 77).

Subs not used: Keita, Moreno, Lallana, Mignolet.

Comments are closed.