Liverpool Yaibuka na Ushindi wa 2-0 Dhidi ya Real Madrid
Liverpool imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabingwa watetezi, Real Madrid kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku Aston Villa wakitoshana nguvu na Juventus kwa sare tasa katika dimba la Villa Park.
Wafungaji wa Liverpool dhidi ya Real Madrid ni Mac Allister dakika ya 52 na Gakpo 77.
: UCL
Aston Villa 0-0 Juventus
Bologna 1-2 Lille
Celtic 1-1 Club Brugge
Dinamo 0-3 Dortmund
Monaco 2-3 Benfica
PSV 3-2 Shakhtar
Zvezda 5-1 Stuttgart
Sturm Graz 1-0 Girona