The House of Favourite Newspapers

Lorraine Aibuka Kidedea Miss Universe 2015

0

1. Mshiriki miss Tanzania akichukua nafasi ya pili, 2014 Jihan Dimack akiwa kwenye red carpet iliyokuwa imeandaliwa.Miss Tanzania aliyeshika nafasi ya pili, 2014 Jihan Dimack akiwa kwenye ‘red carpet’ iliyokuwa imeandaliwa.2.Miss Tanzania 2014,Jihan Dimack akifanya mahojiano kwenye red carpet iliyokuwa imeandaliwa .… Jihan  akihojiwa kwenye ‘red carpet’ iliyokuwa imeandaliwa .3.Jihan (kushoto) akipiga picha za pozi na watu mbalimbali kwenye red carpet hiyo.Mrembo huyo akipiga picha za pozi na mashabiki kwenye ‘red carpet’.4.Watu mbalimbali wakipiga picha za pozi kwenye red carpet hiyo.Mashabiki wakipiga picha za pozi kwenye ‘red carpet’ .5. Miss Tanzania 2008, Miriam Odemba akipiga picha za pozi kwenye red carpet hiyo.Mwanamitindo, Miriam Odemba akipiga picha za pozi kwenye ‘red carpet’.6.Miriam (kushoto) akifanya mahojiano.Miriam (kushoto) akifanya mahojiano.7.Ben Poul (kushoto) akipiga picha za pozi na watu mbalimbali waliohudhuria hafla hiyoMsanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ben Pol (kushoto) akipiga picha za  pozi na watu mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo8Meza kuu ya Majaji wa shindano hilo.10.Warembo wakichuano kwenye mashindano hayo wakipita mbele kuonesha ujuzi wao.Warembo wakipita mbele  ya majaji kuonesha ujuzi wao.11.Maria Sarungi (mbele) akizungumza jambo na nyumba yake ni washiriki wa Miss Universe.Mkurugenzi wa Kampuni ya Compass Communications, Maria Sarungi (mbele) akizungumza jambo.12.Washiriki wakiwa hatua ya tatu ya kumpata mshindi kwanza wa mashindano hayo.Washiriki wakibakia wanne kumpata mshindi.13.Maria Sarungi akimvalisha taji la Ushindi Mshindi wa Miss Universe 2015, Lorraine Marriot .Maria Sarungi akimvalisha taji la Ushindi Mshindi wa Miss Universe 2015, Lorraine Marriot .14.Kutoka kushoto ni mshindi wa tatu, Willice Donald kutoka (Dar), mshindi wa pili, Lilian Loth (Dar) na mshindi wa kwanza Lorraine Marriot.Kutoka kushoto ni mshindi wa tatu, Willice Donald kutoka (Dar), mshindi wa pili, Lilian Loth (Dar) na mshindi wa kwanza, Lorraine Marriot.15.Wakiwa wametokelezea na mataji yao.Wakiwa wametokelezea na mataji yao.16.Majaji wa shindano hilo wakiwa katika picha ya pamoja ma washindi hao.Majaji wa shindano hilo wakiwa katika picha ya pamoja na warembo hao.17.Warembo hao wakipozi kwenye picha ya pamoja.

….wakiwa kwenye picha ya pamoja.

SHINDANO  la Miss Universe Tanzania 2015 jana Ijumaa, lilifikia tamati baada ya mmoja ya waliokuwa washiriki wa shindano hilo, Lorraine Marriot kuibuka kidedea akiwabwaga wenzake 14 waliokuwa wakichuana.

Mashindano hayo yalimalizika jana usiku kwenye ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga , jijini Dar    ambapo ilikuwa fainali na muandaaji akiwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Compass Communications, Maria Sarungi .

Aidha katika mashindano hayo warembo hao  walitoka mikoa mbalimbali walishiriki  kuwania taji hilo ambao miongoni mwao ni Mariam  Isack, Lilian Loth, Stacey Sulul , Willice Donald, Marriot, Darena David , Mercy Zephania, Dinnah Kaijage, Melody Typhone wote hawa wakitokea mkoa wa Dar es Salaam.

Wengine walioshiriki ni Joselyn Mirashi  (Arusha) , Nancy Matta (Mbeya), Christina Shimba (Iringa) na Beinda kutoka Mwanza.

NA DENIS MTIMA/GPL

Leave A Reply