The House of Favourite Newspapers

LOWASSA, SUMAYE WAONGOZA HARAMBEE AZANIA FRONT

Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa (kulia) na Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Fredrick Sumaye wakisalimiana.
Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa (kulia) na viongozi wengine wakiwa kanisani.
Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa (katikati) akiendesha harambee katika kuwachangia wanakwaya  ili waweze kuendeleza kazi ya injili.
Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akizungumza jambo katika hafla hiyo.

 

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa, leo ameongoza harambee ya uzinduzi wa Albamu ya Kwaya Kuu ya Kanisa la KKKT Usharika wa Azania Front Dar es Salaam.

 

Katika uzinduzi huo, Lowassa alimuomba Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Fredrick Sumaye kuungana naye katika kuwachangia wanakwaya hao ili waweze kuendeleza kazi ya injili.

 

Kwenye harambee hiyo, watu wengi mashuhuri waliungana na viongozi hao wastaafu katika kuunga mkono harambee hiyo.

Comments are closed.