The House of Favourite Newspapers

Luis Aandaliwa Kuwamaliza Al Merrikh

0

BIG Bosi wa Benchi la Ufundi la Simba, Mfaransa, Didier Gomes, amefichua kwamba anaelewa uzito wa mechi yao dhidi ya Al Merrikh kiasi cha kuamua kumuandaa kiungo wake mshambuliaji, Luis Miquissone kwa ajili ya kuwamaliza Wasudan hao.

 

Kocha huyo ameongeza kwamba, anamuandaa Luis ambapo kwa sasa ameamua kumpa program ya kupumzika kwa sana kwa ajili ya kumfanya awe fiti kwa asilimia 100 ili atimize jambo hilo.

 

Keshokutwa Jumanne kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, Gomes ataiongoza Simba kupambana na Al Merrikh, ukiwa ni mchezo wa nne wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Pia ni marudiano dhidi ya timu hiyo.

STORI NA SAID ALLY, Dar es Salaam

Leave A Reply