Lukamba Amwaga Ukweli Wote ”Nilishangaa Studio Ya P Diddy Kuna Kitanda” – Video
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na staa wa mitandaoni, @lukambaofficial amesimulia kila kitu kilichotokea katika ziara yao akiwa na staa wa Bongo Fleva, @diamondplatnumz na @babutale kwenda kuonana na P. Diddy nchini Marekani.