The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Lulu Diva Apigana na Meneja Wake Kwenye Birthday

Mwanamuziki anayetamba na nyimbo, Milele na Usimwache, Lulu Diva amefanya kituko kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ‘birthday’  baada ya kuwaalika mastaa kibao lakini cha kushangaza ulizuka ugomvi kati yake na Meneja wake.

Chanzo cha ugomvi huo na tukio zima PLAY VIDEO hapa chini.

Comments are closed.