LULU DIVA Kusaidia Wahudumu wa Baa – Video

MSANII wa Bongpo Fleva, Lulu Abbas maauru kama Lulu Diva, amesema kuwa kwa sasa anaandaa project yake ambayo itakuwa maalum kwa ajili ya kuwasaidia wahudumu wa baa wakiwemo vijana na akina dada.

 

Diva amesema ameamua kuja na project hiyo kwa sababu hata yye alipitia huko kwani aliwahi kuwa mhudumu wa baa kabla ya kuwa staa wa muziki hivyo anatambua manyanyaso, dharau na matusi wanayokumbana nayo wahudumu hao.

 

Msanii huyo anayetamba na ngoma yake ya ONA amesema lengo kubwa litakuwa ni kuwapa ushaui na kuwasaidia pale itapowzekana ili waweze kutyimiza malengo yao.

MSIKIE LULU DIVA


Loading...

Toa comment